Rais ruto aahidi kusalimisha huduma zote za kaunti

  • | Citizen TV
    1,912 views

    Rais William Ruto sasa anasema kuwa serikali ya kitaifa iko tayari kukamilisha mpango wa kuhamisha huduma zote za ugatuzi ambazo bado zimesalia serikali kuu. Rais Ruto pia ameahidi kuhakikisha mgao wa kaunti unatolewa mapema kufanikisha mipango yake. Akizungumza katika kongamano la ugatuzi mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu, Rais hata hivyo amekosa kutoa ahadi ya moja kwa moja kuhusu ombi la mishahara zaidi kwa wawakilishi wodi