Rais Ruto aapa kulinda raslimali za umma

  • | K24 Video
    27 views

    Chuma cha maafisa wa serikali wanaojihusisha na uporaji wa mali ya umma ki motoni!, ni kauli yake rais William Ruto alipokuwa katika kaunti ya Murang'a hii leo. Kauli hiyo imeungwa mkono na mkuu wa mawaziri musalia Mudavadi ambaye alikuwa akizungumza leo katika kaunti ya nakuru