Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto aapisha majaji 49 katika hafla ya Ikulu Nairobi

  • | Citizen TV
    1,523 views
    Duration: 2:49
    Rais William Ruto amewataka Majaji kutekeleza wajibu wao kwa kufuata maadili ili kuhakikisha haki. Rais alizungumza alipohudhuria kuapishwa kwa majaji 49 katika ikulu ya Nairobi.