Rais Ruto aelekea Addis Ababa kwa kongamano la Umoja wa Mataifa la Uzalishaji Chakula

  • | KBC Video
    1,143 views

    Rais William Ruto ameondoka nchini kuelekea Addis Ababa kuiwakilisha Kenya katika kongamano la pili la Umoja wa Mataifa kuhusu mwongozo wa ushirikishi wa mifumo ya uzalishaji chakula. Rais anatarajiwa kulihotubia kongamano hilo kuhusu kujitolea kwa nchi hii katika ushirikishi wa mifumo ya chakula na malengo ya maendeleo endelevu .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News