Rais Ruto aendelea na ziara yake ya kuzindua miradi mbali mbali katika maeneo tofauti nchini

  • | K24 Video
    80 views

    Rais William Ruto anaendelea na ziara yake ya kuzindua miradi mbali mbali katika maeneo tofauti nchini. Hii leo amezindua mradi wa maji na maji taka wa Ol Kalou, kaunti ya Nyandarua katika juhudi za kufaulisha miradi ya nyumba za bei nafuu. Akiwa na naibu wake Rigathi Gachagua, rais Ruto pia amezindua mradi wa barabara ya kilomita 1.6.