Rais Ruto aendeleza shutuma zake dhidi ya mahakama na kuapa kukabiliana na ufisadi

  • | K24 Video
    66 views

    Rais William Ruto ameendeleza shutuma zake dhidi ya mahakama na kuapa kukabiliana na ufisadi anaodai unanuia kukwamisha miradi yake ya maendeleo. Akizungumza baada ya kuzindua rasmi ujenzi wa nyumba elfu moja katika eneo la nanyuki kaunti ya laikipia , Rais amesisitiza dhamira ya utawala wake ya kutekeleza ahadi alizotoa wakati wa kampeni