Rais Ruto agusia mabadiliko katika serikali

  • | KBC Video
    1,658 views

    Rais William Ruto amegusia kuhusu mabadiliko yanayotarajiwa katika serikali yake huku akilenga kuweka mustakabali mpya wa taifa kuendana na hali halisi ya sasa. Rais alizungumza wakati wa kikao cha baraza la mawaziri ambapo maafisa wa usalama walipongezwa kwa kutekeleza wajibu wao kitaalamu katika mazingira magumu dhidi ya wahalifu. Baraza hilo pia lilisema waliovuka mipaka ya kisheria na kuteketeza majengo, kupora na kuiba wakati wa maandamano watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive