6 Nov 2025 10:37 am | Citizen TV 178 views Serikali imeweka mipango ya kuimarisha ufugaji kwa kutumia teknolojia ili kupiga jeki uchumi katika maeneo ya mashinani.