Rais Ruto ahudhuria hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa kanisa la ACK katika kaunti ya Kiambu

  • | Citizen TV
    340 views

    Rais William Ruto yuko katika eneo la Mlima Kenya ambapo anahudhuria hafla ya kuweka jiwe la msingi kwa kanisa la Kianglikana kaunti ya Kiambu.