Rais Ruto ahudhuria kongamano la shirikisho la wafanyakazi duniani mjini Geneva, Switzerland

  • | KBC Video
    83 views

    Rais William Ruto ametoa changamoto kwa shirikisho la wafanyikazi duniani (ILO) kupanua uwanda wa mazungumzo ili kuwashirikisha wale wasio na ajira. Ruto alisema shirikisho la ILO limekuwa ikishughulika na haki za wafanyakazi bila kuangazia sualla la wale wasiokuwa na ajira. Kiongozi wa taifa alisema kufanya hivyo kutatoa fursa ya kutafuta suluhu endelevu kwa tatizo la ukosefu wa ajira. Rais Ruto alisema haya leo wakati wa kongamano la shirikisho la wafanyakazi duniani mjini Geneva, Switzerland.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #LABOUR #rutonewstoday