Rais Ruto aitetea miradi yake ya nyumba ya bei nafuu

  • | Citizen TV
    2,331 views

    Ruto Atetea Nyumba Za Serikali Rais Amesema Nyumba Za Nafuu Zitaimarisha Maisha Asema Wanaoishi Makao Duni Watapata Afueni Na Utu Rais Atetea Ubomoaji Unaofanywa Na Kaunti Nairobi