Rais Ruto akashifu maandamano ya upinzani akisema yanahujumu uchumi

  • | Citizen TV
    10,155 views

    Rais William Ruto amekashifu vikali maandamano ya upinzani na kutaja kama hujuma kwa uchumi wa taifa. Akizungumza katika kaunti za Isiolo na Meru, Rais Ruto amewataka wale wanaoandamana kukoma kuzua fujo na kuharibu mali .