Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto akosolewa kuhusiana na hatua ya ujenzi wa ikulu ndogo Meru

  • | NTV Video
    2,317 views
    Duration: 2:05
    Rais William Ruto huenda akakabiliwa na ukosoaji mkubwa kuhusiana na hatua ya ujenzi wa ikulu ndogo katika kaunti ya Meru katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, huku wakosoaji wakiibua wasiwasi kuhusiana na matumizi ya rasilimali za umma. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya