Rais Ruto akutana na Wakenya wanaoishi China

  • | KBC Video
    842 views

    Rais William Ruto ametoa wito wa marekebisho ya haraka katika taasisi za kimataifa, akionya kuwa mifumo ya kizamani ya kimataifa inashindwa kukabiliana na changamoto za leo. Rais alisema kwamba vita vya sasa vya ushuru wa kibiashara vinaweza kuifanya hali hiyo kuwa mbaya zaidi. Akizungumza mjini Beijing, Uchina, Ruto alishikilia kuwa Kenya haielekei mashariki wala magharibi bali inazingatia sera yake ya kigeni na ushirikiano wa kiuchumi na inaweza kutumika kama daraja kati ya maeneo hayo katika vita vya kibiashara vinavyoendelea kati ya Uchina na Marekani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News