Rais Ruto amekamilisha ziara yake rasmi ya eneo la Pwani

  • | Citizen TV
    4,947 views

    Rais William Ruto amewataka wanasiasa kuzika tofauti na uhasama baina yao na kushikana ili kutimiza ahadi zao kwa wakenya. Akikamilisha ziara yake eneo la pwani, rais ameonekana kurejelea tofauti kati ya viongozi wa Pwani waliozozana hadharani eneobunge la nyali. Rais alikamilisha ziara yake ya pwani kwa kuzuru kaunti ya tana river ambako ameendelea kutoa ahadi zaidi kwa wakenya.