- 327 viewsRais wa Kenya William Ruto ameueleza mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa unaoendelea mjini New York, Marekani kuwa Kenya inalenga kupeleka idadi nyingine ya maafisa wa polisi waliopatiwa mafunzo maalum huko Haiti ili wafikia lengo lililowekwa la polisi 2,500 ifikapo Januari mwaka 2025. Hii ni kutoka idadi ya polisi 382 waliopo huko hivi sasa. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Rais Ruto amesema Kenya inampango wa kuongeza idadi ya maafisa wa polisi wa Kenya kwenda Haiti
- » Klinzy Barasa Masinde, Duncan Kiprono: Police officers suspended over shooting of hawker Boniface Kariuki18 Jun 2025 - The National Police Service (NPS) has identified and interdicted two officers linked to the shooting of an unarmed civilian during a disturbing incident that occurred on Tuesday.
- » ‘You can’t kill us all…’ Defiant Kenyans vow to keep protesting in the face of death by state actors18 Jun 2025 - Even as the streets took a precariously dangerous turn, with saw armed goons poured from all corners in order to violently counter surging numbers of protesters, young Kenyans have remained defiant in the face of death and barbarity, solidly driven by…
- 18 Jun 2025 - Boniface Kariuki, the mask vendor who was shot by a police officer at close range during Tuesday's protests held in Nairobi's Central Business District (CBD), is in critical condition following a complex surgery conducted by a team of Kenyatta National…
- 18 Jun 2025 - The National Police Service (NPS) has moved to clarify a viral video circulating on social media showing a uniformed police officer holding laptops in the Nairobi Central Business District (CBD) during Tuesday’s protests.
- 18 Jun 2025 - The National Police Service (NPS) has moved to clarify a viral video circulating on social media showing a uniformed police officer holding laptops in the Nairobi Central Business District (CBD) during Tuesday’s protests.
- 18 Jun 2025 - The Ministry of Agriculture and Livestock Development is spearheading a digital transformation as it prepares for the mandatory rollout of the e-Government Procurement (e-GP) portal by July 1, 2025.
- » Philip Oketch: KU student shot in the neck during protests sends defiant message to President Ruto18 Jun 2025 - A Kenyatta University student who was shot in the neck during Tuesday's Nairobi protests has defiantly blasted President William Ruto for presiding over state-sponsored violence.
- 18 Jun 2025 - A multidisciplinary medical team at Kenyatta National Hospital (KNH) has successfully removed an object—suspected to be a rubber bullet—that was lodged in the skull of a facemask vendor shot by police during a protest in Nairobi’s Central Business…
- 18 Jun 2025 - KNH received 16 casualties from the violent protests that were witnessed on Tuesday, acting Chief Executive Officer (CEO) William Sigilai has confirmed.
- 18 Jun 2025 - Nairobi Governor Johnson Sakaja has condemned the shooting of hawker Boniface Kariuki by a police officer in Nairobi on Tuesday.