Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto ameunga kuwepo kwa taifa huru la Palestina

  • | Citizen TV
    5,810 views
    Duration: 57s
    Rais William Ruto ameunga mkono kwa Palestina kuwa taifa huru, ikijiunga na mataifa mengine ya Afrika kuunga mkono hatua hii kufuatia kuendelea kwa vita kati ya Palestina na Israel katika ukanda wa Gaza.