Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto amkabidhi Museveni uenyekiti wa EAC katika kongamano la Arusha

  • | Citizen TV
    5,029 views
    Duration: 1:57
    Rais William Ruto amempokeza Yoweri Museveni wa Uganda uenyekiti wa muungano wa Afrika Mashariki EAC katika kongamano lililoandaliwa Arusha Tanzania. Aidha Balozi Stephen Patrick Mbundi kutoka Tanzania ameapishwa kama katibu mkuu wa muungano huo kabla ya kuondoka rasmi kwa katibu wa sasa Veronica Nduva mnamo Aprili mwaka huu