- 4,569 viewsDuration: 2:22Rais William Ruto, Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wamezuru eneo la Lucky summer siku moja baada ya Serikali ya Kaunti ya Nairobi na Serikali kuu kutangaza mustakabali wa kushirikiana katika sekta nne za maendeleo ikiwemo kusafishwa kwa mto Nairobi. Rais bado anaendelea na ziara yake katika mitaa tofauti jijini Nairobi kwa sasa.