Rais William Ruto amesema serikali yake imeimarisha uchumi na kuimarisha uwepo wa chakula, jambo linaloashiria mstakabali ufaao wa taifa hili. Akizungumza katika Kaunti ya Machakos, kiongozi wa taifa aliwataka wapiga kura wa Ukambani kukumbatia miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali. Viongozi wanaoandamana na rais waliazimia kuendelea kushawishi maslahi ya eneo la Ukambani huku wakishirikiana na serikali ya Kenya Kwanza.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive