4,820 views
Duration: 5:15
Rais William Ruto ametetea mtindo wake wa uongozi ,akisema serikali inatimiza ahadi zake chini ya uongozi wake.Akiongea katika Ikulu ya Nairobi,rais alipuuzilia madai ya wakosoaji wake eti anaingilia majukumu ya maafisa wa serikali wanaohudumu chini yake.Na kama anayotueleza mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim,rais Ruto amekariri kujitolea kwa taifa hili kukuza ushirikiano wa kirafiki na mataifa mengine,huku akipokea vitambulisho vya mabalozi wapya tisa walioteuliwa na nchi zao kuhudumu humu nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive