Rais Ruto apokokelewa na mwenzake wa Marekani Joe Biden katika ikulu ya White House

  • | Citizen TV
    1,264 views

    Ziara Ya Rais Ruto Marekani Rais Ruto Alikutana Na Rais Wa Marekani Joe Biden White House Suala La Vikosi Vya Kenya Haiti Vilizungumziwa Na Marais Hao Rais Ruto Aipongeza Marekani Kwa Kuwekeza Kwenye Teknolojia Ruto: Hatua Hiyo Itabadilisha Maisha Ya Wakenya