Rais Ruto asema serikali imepiga hatua kubwa kuleta maendeleo nchini kwa mwaka mmoja uliopita

  • | KBC Video
    84 views

    Rais William Ruto amesema serikali imepiga hatua kuafikia ajenda ya maendeleo nchini katika muda wa mwaka mmoja uliopita. Alisema maendeleo haya yatamaliza changamoto mbali mbali zinazowakumba wakenya. Aliyasema hayo jumapili wakati wa sherehe ya maadhimisha ya miaka 100 ya kanisa la African Independent Pentecostal Church of Africa,tangu lianzishwe. Hafla hiyo iliandaliwa katika uwanja wa Kasarani,kaunti ya Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive