Rais Ruto asema serikali yake haitakopa tena

  • | Citizen TV
    446 views

    Rais William Ruto Amesema Kwamba Serikali Haitakopa Tena Fedha Za Kuendeleza Ujenzi Wa Miradi Ya Maendeleo Nchini. Badala Yake Rais Amesema Watashirikiana Na Wawekezaji Kupitia Mikataba Ya Sekta Ya Umma Na Kibinafsi Ya Ppp Ili Kudhamini Miradi Hiyo. Rais Ameyasema Haya Huku Akimuidhinisha Naibu Chansela Mdogo Zaidi Nchini, Kama Seth Olale, Anavyotuarifu