Rais Ruto asema ufadhili wa elimu hautaondolewa

  • | KBC Video
    257 views

    Rais William Ruto amewaahidi wakenya kuwa ufadhili wa elimu katika shule za msingi na upili za umma utaendelea. Akizungumza wakati wa ibada katika kanisa la ACK St. Martin Kariobangi,katika kaunti ya Nairobi, rais alisema kuwa elimu bila malipo ni haki kikatiba na akatoa hakikisho kuwa serikali itaendelea kuwekeza katika sekta ya elimu. Aidha, alitangaza kuwa walimu hivi karibuni watapokea nyongeza ya mshahara ya hadi 29.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News