Rais Ruto asema wakati umewadia kwa nchi za Afrika kuwa na taasisi thabiti za huduma ya afya

  • | KBC Video
    15 views

    Rais William Ruto amesema wakati umewadia kwa bara la Afrika kubuni na kudumisha taasisi imara za afya ya umma. Ruto ambaye alikuwa akiongea mjini Addis Ababa, Ethiopia wakati wa ufunguzi wa kongamano lililoandaliwa na kituo cha kudhibiti magonjwa barani Afrika alisema bara hili linafaa pia kuimarisha uwezo wake wa kujitengenezea chanjo na kukoma kutegemea dawa zinazoagizwa kutoka nje.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #rutospeechtoday #News