Rais Ruto asema waliotekwa nyara wamerejeshwa makwao

  • | NTV Video
    831 views

    Rais William Ruto leo ameelezea kwamba waathiriwa wote wa utekaji nyara waliachiliwa huru na kurudishwa kwa wapendwa wao, huku akisisitiza kwamba afisi yake haihusiki kwa vyovyote vile na oparesheni za polisi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya