Rais Ruto atetea mfumo mpya wa ufadhili masomo ya vyuo

  • | KBC Video
    8 views

    Rais William Ruto ametetea mfumo mpya wa kufadhili wanafunzi vyuoni akisema unanuiwa kuleta usawazishaji katika sekta ya elimu. Akiongea wakati wa kikao na wanafunzi na wadau wengine katika jumba la mikutano la KICC, rais alisema utaratibu uliotumiwa kuorodhesha wanafunzi kwenye vitengo mbalimbali utahakikisha wanafunzi kutoka jamii zisizoweza kujimudu hawatabaguliwa. Alisema wizara ya elimu itaongeza msaada wa kimasomo na mikopo kwa wanafunzi kutoka familia maskini kutoka asilimia 80 hadi asilimia 95.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive