Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto atoa ahadi kwa wakazi Ukambani sikukuu ya Mashujaa

  • | Citizen TV
    284 views
    Duration: 3:42
    Rais William Ruto alitumia sikukuu ya mashujaa kutoa ahadi za kumaliza miradi ya maendeleo maeneo ya ukambani, akiahidi ujenzi wa barabara, mabwawa na kuimarisha kilimo. Akiwahutubia maelfu ya wakaazi wa eneo hili, rais aliwakosoa wanasiasa wa upinzani kwa kukosa mpango na kuendeleza siasa zisizo na mpango.