Rais Ruto awashauri vijana kukataa kutumiwa kuzua vurugu

  • | KBC Video
    134 views

    Rais William Ruto amewadiriki wapinzani wake kutoa suluhu kwa tatizo la ukosefu wa ajira badala ya kuwachochea vijana kufanya vurugu na kuharibu mali. Ruto alitetea juhudi za serikali yake za kubuni fursa za ajira ambapo vijana wengi wamepata ajira. Alisema haya katika mtaa wa Dandora jijini Nairoboi alipokagua mpango wa unadhifishaji mto Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive