Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto azindua mradi wa NYOTA katika kaunti za Pwani

  • | Citizen TV
    253 views
    Duration: 1:27
    Rais William Ruto ameongoza hafla ya kutoa pesa za mtaji kwa vijana katika mradi wa NYOTA mjini Malindi. Katika awamu ya leo, vijana waliopewa shilingi elfu 25 kila mmoja walitoka kaunti za Kilifi, Tana river na Lamu.