Rais Ruto azindua rasmi mashindano ya WRC

  • | K24 Video
    66 views

    Mashindano ya mbio za magari ya mwaka huu yametajwa kuwa ni zawadi maalum ya sikukuu ya pasaka kwa mamilioni ya familia kuungana katika mashindano hayo ya kusisimua. Akiongea kabla ya kuzindua mashindano hayo katika uga wa KICC, Ruto amesema kenya imefanya matayarisho ya kiwango cha kimataifa ili kutoa viwanja vya mbio za kiwango cha juu na kufanikisha mashindano hayo maarufu duniani.