6 Feb 2026 12:08 pm | Citizen TV 5,216 views Duration: 2:16 Rais Ruto: Msitubebe ufala bana! Hamuwezi kukwepa kutuambia ajenda yenu ni gani kwa sababu tunawajua. Ati wanasema wanapanga maandamano. Ati ajenda yao ni kuondoa William Ruto