Rais Ruto na naibu wake Rigathi Gachagua watofautiana kuhusu suala la umoja na uwiano wa nchi

  • | Citizen TV
    13,458 views

    Rais William Ruto na Naibu Wake Rigathi Gachagua wametofautiana kuhusu suala zima la umoja na uwiano nchini. Kwenye hafla ya maombi iliyoandaliwa na dhehebu la akorino katika kaunti ya Nakuru, Rais Ruto amesisitiza umuhimu wa kuunganisha taifa kinyume na anavyohimiza naibu wake kuhusu umoja wa eneo lake la mlima kenya. Maryanne Nyambura anaarifu zaidi.