Rais Ruto: Wapinzani ni walaghai, hawana mpango wenye maana

  • | Citizen TV
    7,189 views

    Rais William Ruto sasa anasema wanaompinga bila mpango ni walaghai wanaopiga kelele tu, akisema wanafaa kutangaza mpango wao ambao wanaona ni bora kuliko wake. Akizungumza jijini Nairobi, Rais Ruto alisema ataondoka mamlakani wakati wake ukiwadia ila kwa sasa apewe muda wa kufanya kazi yake