- 521 viewsRais Donald Trump na mkewe Melania Trump walipokuwa wakiondoka White House na kuingia kwenye gari lake kwa ajili ya mwendo mfupi kwenda Bungeni. Bilionea Elon Musk pia alionekana akitoka nje ya White House, sekunde chache kabla ya Trump kuungana naye katika gari hilo kwenda Bungeni. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Rais Trump na mkewe walipokuwa wakitoka White House kwenda bungeni
- 30 Apr 2025 - High Court Judge Bahati Mwamuye has declared a protest ban issued by former Nairobi Police Commander Adamson Bungei during the 2024 anti-tax demonstrations illegal and unconstitutional.
- 30 Apr 2025 - Justice Bahati Mwamuye issued the order in a case filed by the Law Society of Kenya (LSK), which had petitioned the court following the killing of Rex Masai during a protest.
- 30 Apr 2025 - The explosion in generative AI since the advent of ChatGPT has seen several startups launch apps focused on exchange and contact, sometimes described as virtual friends or therapists that communicate according to one's tastes and needs.
- 30 Apr 2025 - Retired Commissioner of Police Michael Mbugua and two co-accused persons have been granted cash bail of Ksh.100,000 each in a case where they are charged with the murder of a farmhand.
- 30 Apr 2025 - Since he was first thrust into the limelight, to be publicly prosecuted over his role in the 1990s Goldenberg scandal, the Kamlesh Pattni saga has continued to unload radioactively, mesmerising the masses and painting him into the ultimate villain in a…
- 30 Apr 2025 - The government of Japan has conferred the former Ambassador of Kenya to the country, Benson Ogutu, with a state award. The Embassy of Japan in Kenya on Wednesday, April 30, 2025, announced that Ambassador Ogutu had been conferred with the Order of the…
- 30 Apr 2025 - Police were accused of gross violation of human rights.
- 30 Apr 2025 - The developers' consortium that developed and maintains eCitizen, the government’s online portal for all State services, has defended its accountability amid repeated concerns about the accuracy of records of revenue collected through its platform.
- 30 Apr 2025 - The Competency-Based Education (CBE) system is reshaping the education landscape, introducing a model designed to align learning with students’ individual strengths, skills, and career ambitions. Central to this shift is the mandate for all senior…
- 30 Apr 2025 - The teachers are seeking payment of arrears for house allowances they claim were underpaid between July and October 2019.