Rais wa Marekani: 'Hatutarudi nyuma kusimamia desturi zetu zinazo tufanya tuwe madhubuti...'

  • | VOA Swahili
    949 views
    Rais wa Marekani Joe Biden anasema: "Hatutarudi nyuma kusimamia desturi zetu zinazo tufanya tuwe madhubuti... ." Sikiliza nukuu yake katika hotuba aliyoitoa kwenye kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, Marekani. #unga #marekani #un #umojawamataifa #usalama #mafanikio #usawa #voa #voaswahili #marekani #joebiden - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.