Rais wa Rwanda: 'lazima tumalize migogoro...hakuna dalili ya kumalizika mgigoro inayoendelea...'

  • | VOA Swahili
    3,384 views
    Rais wa Rwanda anasema "ni lazima tumalize migogoro..." Sikiliza nukuu yake katika hotuba aliyoitoa kwenye kikao cha 78 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, New York, Marekani. #unga #marekani #un #umojawamataifa #usalama #mafanikio #usawa #voa #voaswahili #rwanda #paulkagame - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.