Skip to main content
Skip to main content

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron azuiwa barabarani kupisha msafara wa Trump

  • | BBC Swahili
    14,108 views
    Duration: 30s
    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron alipopiga simu kwa Rais wa Marekani Donald Trump baada ya kuzuiwa katika barabara ya New York iliyofungwa kwa ajili ya msafara wa rais wa Marekani wakati wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Ni kitendo kilichovutia maoni ya watu wengi huku wengi wakimsifu kwa uvumilivu wake. Hatimaye baada ya kutembea kwa takribani dakika 30 Rais Macron aliweza kuvuka na kuelekea alikokuwa akienda. - - #bbcswahili #marekani #ufaransa