Rais Willam Ruto aahidi kuwekeza zaidi katika sekta ya kilimo

  • | Citizen TV
    829 views

    Rais William Ruto amesema serikali yake itawekeza pesa za kutosha kuimarisha sekta ya kilimo Nchini. Katika maadhimisho ya awamu ya 61 ya Madaraka Dei katika kaunti ya Bungoma, Rais Ruto amesema mpango huo unapania kuongeza mapato kwa wakulima wa kahawa, pareto, majani chai pamoja na wafugaji nchini. Stephen letoo na taarifa hiyo kutoka Bungoma.