Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto akampeni Homa Bay

  • | Citizen TV
    693 views
    Rais William Ruto kwa mara nyingine ameendelea kuwarushia makombora ya kisaisa wapinzani wake sasa akisema, aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua hapaswi kupewa nafasi yoyote ya uongozi nchini. Badala yake akimshutumu Gachagua kwa kueneza ukabila. Akizungumza huko Homa Bay, Rais Ruto amesema kuwa eneo la Nyanza limebaguliwa kwa muda mrefu na kwamba amepata fursa ya kuliimarisha eneo hilo.