Rais William Ruto amteuwa Renson Mulele Ingonga kuwa DPP

  • | Citizen TV
    1,047 views

    Rais ametuma jina la Ingonga katika bunge la kitaifa ili apigwe msasa kabla ya kuidhinishwa kuchukua wadhifa huo ulioachwa na Noordin Haji. Ingonga alikuwa miongoni mwa watu 48 waliotuma maombi ya kuomba kazi hiyo na atakuwa mkurugenzi wa mashtaka ya umma wa tatu iwapo uteuzi wake utaidhinishwa.