6 Feb 2026 1:07 pm | Citizen TV 79 views Rais William Ruto ameongoza hafla ya kutoa pesa za mtaji kwa vijana katika mradi wa nyota jijini Mombasa. Katika awamu ya leo, vijana waliopewa shilingi elfu 25 kila mmoja walitoka kaunti za Mombasa, Kwale na Taita taveta.