Rais William Ruto asema hatua alizochukua zitasaidia taifa kukua

  • | Citizen TV
    2,626 views

    Rais william ruto amesema kuwa taswira ya Kenya itabadilishwa na viongozi ambao wanapania kuwa na maendeleo nchini.