Rais William Ruto asema utajiri wa bara Afrika uko katika kilimo

  • | Citizen TV
    974 views

    Rais William Ruto amewaeleza wajumbe wanaohudhuria kongamano la 13 la utoshelevu wa chakula Afrika jijini Dar es Salaam, Tanzania, kwamba, utajiri wa bara Afrika uko katika kilimo.