Rais William Ruto atetea ziara zake katika mataifa ya nje,akisema zinafaidi taifa hili

  • | KBC Video
    42 views

    Rais William Ruto ametetea ziara zake nje ya nchi akisema zimechangia pakubwa kulifaidi taifa. Akizungumza wakati wa ibada ya arubaini katika kanisa la ACK Dayosisi ya Eldoret, Ruto alisema ni kupitia ziara hizo za kigeni ambapo serikali yake imefanikiwa kutia saini mikataba ya kiuchumi na mataifa 27 ambayo miongoni mwa mengine itawanufai wakulima kupata masoko nchini Marekani kaskazini, bara Ulaya, Mashariki ya kati na bara Asia. Huyu hapa ripota wetu Abdiaziz Hashim na maelezo kwa kina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive