Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto atia saini mswada mpya kuwa sheria

  • | Citizen TV
    3,426 views
    Duration: 1:55
    Rais William Ruto ametia saini mswada wa miundomsingi ya kitaifa, itakayotoa mwongozo wa kufadhili miradi mikuu ya serikali kama vile reli, barabara kuu na kawi, ili kubadilisha taifa la kenya kufikia viwango vya mataifa yaliyoendelea zaidi. Akizungumza baada ya kutia saini sheria hiyo mpya, rais William Ruto amesema mradi wa kwanza utakaofadhiliwa na mpango huo ni uboreshaji na ujenzi wa uwanja wa ndege wa JKIA.