Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto atia saini sheria ya hazina ya miundomsingi ya KSh.5T

  • | Citizen TV
    2,128 views
    Duration: 3:28
    Rais William Ruto ametia saini kuwa sheria mswada wa miundo msingi ya kitaifa, itakayotoa mwongozo wa kukusanya shilingi trilioni 5, zitakazofadhili miradi mikuu ya serikali nchini. Akizungumza baada ya kutia saini sheria hiyo, Rais Ruto amesema mradi wa kwanza utakaofadhiliwa kupitia kwa mpango huo ni uboreshaji na ujenzi wa uwanja wa ndege wa JKIA.