Rais William Ruto atia saini sheria ya walemavu ya mwaka wa 2023

  • | Citizen TV
    172 views

    wafanyikazi wenye ulemavu sasa watafaidi kuondolewa kwa ushuru mbalimbali baada ya rais William Ruto kutia saini sheria ya walemavu ya mwaka wa 2023.