Rais William Ruto awataka wakenya kumpa fursa ili atekeleze ahadi zake nyingi alizowatolea wakenya

  • | NTV Video
    2,537 views

    Rais William Ruto amesema kuwa anatambua shauku zilizopo kutokana na hatua ya serikali kuanzisha miradi na mipango mingi mara moja na kwa mpigo, ila anasema kuwa ni yeye atakayebadilisha mkondo wa taifa hili.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya